zlzo Jr b0ng0
15 September 2010
wengine wanapelekwa ndenge, magari sisi baiskeli.usawa ukukowapi?
Kuna mdau kanitumia picha hii ya mgonjwa aliye taabani akipelekwa kituo cha Afya kwa baiskeli kama ilivyo pichani,lakini kwa bahati mbaya mdau huyu hakunipa maelezo ya kutosha kuwa ni sehemu gani ama ni wapi tukio hili limetokea,lakini hali halisi ya sehemu nyingine huko vijijini kwetu ndio kama hivyo,Haya wagombea uongozi mbalimbali ndio mahala pa kuwahoji mambo kama haya na mengineyo mengi ambayo jamii imekuwa ikihitaji
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment